Eneo la Sinza, Dar es salaam ni maarufu sana na kwa miaka mingi vijana hupendelea kuishi huko. Mpaka kukapewa nickname ya ‘kwa wajanja’. Nyumba za Kupanga Sinza ni chaguo la vijana wengi wa rika la kati ambao hawaishi na familia (bachelors) au wenye familia ndogo ndogo. Kuna sababu kuu TATU za vijana kupenda kupanga nyumba za Sinza ili kuishi na hata kufanya biashara. Sababu …