Your search results

Vifaa hivi unavitumia nyumbani kila siku lakini ni hat...

Ndio sababu ya kukuta nyumba inalindwa na ulinzi wa kila aina kuwezesha usalama wa watu wanaoishi kwenye nyumba husika. Kuanzia madirisha, milango, ukuta mrefu, mageti, waya za umeme, kamera za CCTV na hata kulindwa na walinzi.  Kujilinda kote huku tunafikiria zaidi kuhusu hatari ya kuingiliwa na wanyama, wezi au majambazi na kusahau kwamba kuna hatari nyingine nyingi tunazoishi nazo kila siku bila kujua kwamba …

MPANGAJI APEWE NOTISI YA MUDA GANI KUONDOKA KWENYE NYU...

Kuna  matatizo  sana   kati  ya  wapangaji  na  wenye  nyumba  kuhusu  notisi  ya  kuondoka  au  kuondolewa.  Wako  wanaosema  notisi  ni  mwezi mmoja,  wako  wanaosema  ni  miezi  mitatu  n.k.  Kama  ni kweli  ama  hapana  tutaona hapa   sheria  inasemaje. Masuala  ya  pango  yanaongozwa  na  sheria  kuu  mbili.  Moja  sheria  ya  ardhi  namba  4  ya  mwaka  1999  na  pili  sheria  ya  mikataba  sura  ya  345.  Kwa  pamoja  sheria  …

Alama ya mtaa Sinza

Nyumba za Kupanga Sinza; Kwa nini ni chaguo la vijana ...

Eneo la Sinza, Dar es salaam ni maarufu sana na kwa miaka mingi vijana hupendelea kuishi huko. Mpaka kukapewa nickname ya ‘kwa wajanja’. Nyumba za Kupanga Sinza ni chaguo la vijana wengi wa rika la kati ambao hawaishi na familia (bachelors) au wenye familia ndogo ndogo. Kuna sababu kuu TATU za vijana kupenda kupanga nyumba za Sinza ili kuishi na hata kufanya biashara. Sababu …

user image

Where to live in Dar Es Salaam?

Most of us judge each other based on how we look, where we work, who our friends are, and even where we live. As a result, different residential areas in Dar es Salaam have gained unique stereotypes that greatly influence people’s decisions to live there. For instance, if you are familiar with Dar neighborhoods and meet someone who lives on Mwaya Road in Masaki, you’ll probably think that they …

Faida 5 za kuishi Pembezoni Majiji kama Dar es Salaam ...

Inapofikia wakati wa kufanya maamuzi ya sehemu ya kuishi, watu wengi wanapenda kuishi katikati ya jiji au karibu na jiji.  Sababu ni nini hasa? Ni nafuu.   Kutokana na uhitaji kuwa mkubwa wa viwanja, nyumba za kupanga na kuuza bei zinakuwa kubwa sana katika majiji makubwa kama Dar es Salaam na Arusha. Na kadri unavyohitaji kupanga, kununua nyumba katikaki ya majiji  au karibu sana na katikati …

Kuishi Katika Nyumba Nzuri ni Haki Yako

Ishi katika Makazi bora  yaliyopo  katika maeneo yanayoloruhusu wakazi kufikia maeneo ya umma, fursa za ajira, huduma za afya, shule, vituo vya kulelea watoto na maeneo mingine muhimu ya kijamii Usiishi mabondeni, maeneo ambayo husababisha majanga kwa wananchi wakati wa mvua, vikiwemo vifo na kuharibika kwa makazi yake.  Usiishi maeneo ambayo yanaathirika sana kwa mafuriko pale inaponyesha mvua kubwa  Usiishi katika mitaa ya mabanda na makazi …

Makazi Bora Jul 02, 2021 0 Continue Reading

Tanzania’s property market continues to flourish

Tanzania’s property market is set to grow sharply in coming years, supported by strong, uninterrupted economic growth. Tanzania’s economy grew by 7% in 2018, following an average real GDP growth rate 6.5% from 2000 to 2017, primarily driven by its booming construction sector. Since taking office in November 2015, President John Magufuli has embarked on an ambitious program of industrialization, investing billions of dollars …

Property Jun 12, 2021 0 Continue Reading

How is the property purchase process in Tanzania

The state owns all land in Tanzania. Therefore, there is no private ownership allowed for both citizens and non-citizens. Nevertheless, the Government grants rights of occupancy of land and derivative rights. A right of occupancy is valid for 5-99 years, renewable. A derivative right, on the other hand, can be held for 5-98 years. For a foreigner to obtain a right of occupancy, s/he …

Property Jun 12, 2021 0 Continue Reading

How to Choose the Right Real Estate Agent

Kaya Agents are among the best in the business.  Work with an agent Consider these steps for finding the right agent: 1. Check out the local housing market in person Drive or walk around your neighborhood and look for repeat agent names on real estate signs (bonus if there’s a “sold” sign next to them!). According to our research, five percent of sellers find …

user image

Pangisha

APARTMENT unayoitaka kupitia www.kaya.co.tz Wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp +255 784 225 000#HouseForSale #RealEstate#LandForSale #PlotForSale#ShambaLinauzwa #PropertyforSale#PropertiesInDar #ApartmentForSale#BusinessPremises #Dalali

  • Search Agents and Agencies

Compare Listings