LIPA KODI YA ARDHI KILA MWAKA Kodi ya pango la ardhi1. Kodi ya Ardhi ni nini?Kodi ya ardhi ni malipo ya pango la ardhi wanayotozwa wamiliki wa vi- wanja na mshamba yaliyopimwa na kumilikishwa kisheria •Huduma muhimu zilizopo(miundombinu)•Matumizi ya ardhi husika kama vile Biashara, viwanda, makazi, kilimo, ibada n.k 2. Kwa nini kodi inalipwa?1.Ni kutimiza masharti/mkataba unaomtaka Mmiliki kulipia kodi ya pango la ardhi …