Your search results

Category Archives: Dalali Mkuu

Dalali ni nani?

Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku.Dalali ni mtu yeyote au taasisi inayofanya kazi ya uwakala ili kufanikisha biashara baina ya mteja na mtoa huduma fulani. Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mbili.Nafasi ya UdalaliNi kweli …

Dalali Mkuu Oct 11, 2020 2 Continue Reading
  • Search Agents and Agencies

Compare Listings