Ishi katika Makazi bora yaliyopo katika maeneo yanayoloruhusu wakazi kufikia maeneo ya umma, fursa za ajira, huduma za afya, shule, vituo vya kulelea watoto na maeneo mingine muhimu ya kijamii Usiishi mabondeni, maeneo ambayo husababisha majanga kwa wananchi wakati wa mvua, vikiwemo vifo na kuharibika kwa makazi yake. Usiishi maeneo ambayo yanaathirika sana kwa mafuriko pale inaponyesha mvua kubwa Usiishi katika mitaa ya mabanda na makazi …