Kuna matatizo sana kati ya wapangaji na wenye nyumba kuhusu notisi ya kuondoka au kuondolewa. Wako wanaosema notisi ni mwezi mmoja, wako wanaosema ni miezi mitatu n.k. Kama ni kweli ama hapana tutaona hapa sheria inasemaje. Masuala ya pango yanaongozwa na sheria kuu mbili. Moja sheria ya ardhi namba 4 ya mwaka 1999 na pili sheria ya mikataba sura ya 345. Kwa pamoja sheria …