Your search results

Category Archives: Uncategorized

Vifaa hivi unavitumia nyumbani kila siku lakini ni hat...

Ndio sababu ya kukuta nyumba inalindwa na ulinzi wa kila aina kuwezesha usalama wa watu wanaoishi kwenye nyumba husika. Kuanzia madirisha, milango, ukuta mrefu, mageti, waya za umeme, kamera za CCTV na hata kulindwa na walinzi.  Kujilinda kote huku tunafikiria zaidi kuhusu hatari ya kuingiliwa na wanyama, wezi au majambazi na kusahau kwamba kuna hatari nyingine nyingi tunazoishi nazo kila siku bila kujua kwamba …

user image

Pangisha

APARTMENT unayoitaka kupitia www.kaya.co.tz Wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp +255 784 225 000#HouseForSale #RealEstate#LandForSale #PlotForSale#ShambaLinauzwa #PropertyforSale#PropertiesInDar #ApartmentForSale#BusinessPremises #Dalali

Kodi ya Pango la Ardhi

LIPA KODI YA ARDHI KILA MWAKA Kodi ya pango la ardhi1. Kodi ya Ardhi ni nini?Kodi ya ardhi ni malipo ya pango la ardhi wanayotozwa wamiliki wa vi- wanja na mshamba yaliyopimwa na kumilikishwa kisheria  •Huduma muhimu zilizopo(miundombinu)•Matumizi ya ardhi husika kama vile Biashara, viwanda, makazi, kilimo, ibada n.k 2. Kwa nini kodi inalipwa?1.Ni kutimiza masharti/mkataba unaomtaka Mmiliki kulipia kodi ya pango la ardhi …

Tanzia

Pumzika kwa amani Mzee wetu

What Is a Real Estate Agent’s Commission?

Working with a real estate agent is par for the course when buying or selling a home, so it’s good to know how they get paid for their real estate commission, what specific duties they should or shouldn’t be involved in, and their role in helping you into the home and neighborhood that best suits your lifestyle. Typically, a real estate agent is paid …

YAJUE MAMBO 7 KUTOKA SHERIA YA ARDHI.

Kazi kubwa ya sheria zote zinazoshughulika na masuala ya ardhi ni kuratibu na kutoa mwongozo katika miamala mbalimbali ya masuala ya ardhi katika maisha ya kila siku. Miamala hiyo ni kama uuzaji na ununuzi wa ardhi, masuala ya mikopo na rehani, upangaji na upangishaji, masuala ya fidia, kuhamisha umiliki, haki na wajibu wa mmiliki ardhi, haki na wajibu wa serikali katika ardhi yote, upimaji …

Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiw...

Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi amesema kwa sasa wizara hiyo inasajili majina hayo na kwamba Watanzania watumie fursa hiyo vema kupunguza migogoro ya mirathi. “Sisi katika wizara …

Oyster Bay

Oyster Bay (also spelled Oysterbay), also known as Cocoa beach and Coco beach, is an affluent neighborhood in Dar es Salaam, Tanzania. It is popularly known for its attractive beach. Oyster Bay is located north west of Dar es Salaam’s central business district along the Indian Ocean. Europeans have resided here since colonial times . Since independence, Europeans working for development aid organizations, and senior government officials, including ministers, permanent secretaries and directors and commissioners, …

African urban growth is expected to be massive

Real estate sector in Africa has been experimenting an impressive growth. On average, 10,000 accommodations miss each year in most of these countries, and despite some governmental endeavors, the shortfall is still important. According to several studies, African population is going to increase over threefold during the next 40 years. This demographic growth will inevitably go with a strong development of cities, which has …

About Kaya.co.tz

Available national-wide, kaya offers the best property listings. Selling, Buying & Renting houses are not a tough job in the present time. If we talk about past days, it’s really hard to find the best option to fulfill our real estate requirement but now you can sell or buy your dream house with the help of kaya.co.tz. Kaya is online place it is really …

  • Search Agents and Agencies

Compare Listings