About Me
Kwa mahitaji ya viwanja na mashamba kwa mkopo usiokua na riba wala dhamana . Karibu nikuhudumie nina uzoefu katika shughuri hii kwa zaidi ya miaka 7 huduma zetu zinapatikana sehemu zote viwanja vyetu vimepimwa na viko karibu na huduma zote za kijamii huduma hazichagui mahali ulipo kwakua tuna fanya huduma ya malipo kwa njia ya bank miamala ya simu na kufika ofisini . Nimesha wahudumia wateja mbali mbali ndani na nje ya tanzania . Uaminifu ni 100% tunatoa mikataba ya kisheria na tunaruhusu mteja kumshirikisha mwanasheria wake endapo atahitaji kufanya hivyo. Mkopo wetu ni wa miezi 18.