About Me
Tunauza viwanja na mashamba kwa bei ya chini na malipo ni kwa awamu hadi miezi 18, na hakuna kianzio cha mwanzo wa malipo, rejesho la bei la kiwanja ni moja kulingana na miezi uliokubaliana baada ya kujaza mkataba.
unakaribishwa kutembelea ofisi zetu Makumbusho jirani na Balaza la Ardhi manispaa ya Kinondoni, unaweza kuambatana na mwanasheria wako wewe mteja au ukakutana na mwanasheria wetu wa ofisi ilikujenga uaminifu zaidi.