About Me
Am a sales and marketing personnel dealing with real estate business. I have good three years of experience in this field, our plots are friendly in geographical location easy to be reached with land title deed.
Mimi ni mtu wa masoko na muuzaji ninaefanya kazi katika biashara ya uuzaji wa viwanja. Nina uzoefu wa miaka mitatu katika hii kazi. Maeneo yetu yanafikika kirahisi na unapata hati miliki ya wizara.