Overview
- Updated On:
- November 24, 2020
- 8 Bedrooms
- 3 Bathrooms
Description
Eneo lenye hekali 35, lililopo vikindu Mkuranga, Eneo limeandaliwa Kisasa kabisa na Limeendelezwa kama ifuatavyo;
Limepandwa Ndimu heka 6,
mahindi heka 4, Pation1.5,
Bonde la mpunga heka 8,
Majani ya ng`ombe heka 2,
Papai heka 4,
Eneo la Wazi heka 10.
*MALI ZINGINGINE ZILIZOPO*
Nyumba kubwa3,
Nyumba ya wafanyakazi 1,
Nyumba yenye room 3,
Godauni kubwa na la kisasa,
Nyumba room 1 na choo. Tank kubwa Lita laki 1,
*MFUMO WA MAJI*
Tank za plastic =6 Lita 5000 uko kwenye minara yake,
🐟Mabwawa ya SAMAKI 10 yanasamaki 10,000. Kisima Chenye Urefu wa mita 100 (over flow) muda wote hakikauki,
Pamp ya kisima hz power 5,
WANYAMA WALIOPO
🐐mbuzi 10
🦆 Bata 40
🐄 Ng’ombe 2
🌴Shambani pia kumepandwa Nazi 300= Kuna pamp 3, za kumwagilia.
🐕Mbwa 7.bei sh milioni mia tatu.