Overview
- Updated On:
- June 9, 2021
Description
Shamba la ekari 6 linauzwa. Liko Moshi TPC nje kidogo ya kiwanda cha miwa katika kijiji cha Mtakuja. Kiwanja kina nyumba ya kisasa yenye vyumba viwili vya kulala, self. Pia kuna kisima cha maji. Kiwanja chote kimezungushiwa fensi ya waya. Nguzo za umeme wa REA zipo karibu. Kinafaa kwa matumizi ya kilimo, utalii, na pia shule au ufugaji. Kina miti ya mbao na matunda na mizinga ya nyuki.
120ml
District: Moshi
Area: all
Region: Kilimanjaro
Country: Tanzania, United Republic of
Open In Google Maps Property Id : 22022
Price: TZS 120,000,000
Available from: 2021-06-09
Property Reviews
You need to login in order to post a review
Similar Listings
A PLOT FOR SALE AT MOSHI MJINI
TZS 95,000,000
A plot is up for sale at Moshi Mjini (Shanty Town). It has an area of 1726 squared meters. [more]
A plot is up for sale at Moshi Mjini (Shanty Town). It has an area of 1726 squared meters. It has a clean Title dee [more]
1,726.00 m2details