Overview
- Updated On:
- May 28, 2021
- 4,049.00 m2
Description
Mashamba yanauzwa vigwaza
Mashamba yapo kilometer 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro na mzani wa vigwaza
Mashamba yote yamepimwa kwa ukubwa wa heka moja-moja
Barabara ya kwenda bandari kavu inajengwa kwa lami.
Mashamba unaweza kuyatumia hata kibiashara kama maegesho ya magari au sheli kwa fursa hii ya uwepo kwa bandari kavu maeneo hayo.
Kwenda kutembelea mashamba ni bure na ni kila siku za weekend.
Karibuni sana
District: Kibaha Vijijini
Area: all
Region: Pwani
Country: Tanzania, United Republic of
Open In Google Maps Property Id : 21907
Price: TZS 2,500,000
Property Size: 4,049.00 m2