Overview
- Updated On:
- September 12, 2021
- 2 Bedrooms
Description
Moja ya vitu muhimu walivyovizingatia katika Palm Village Apartments ni SECURITY, ukiachia mbali Walinzi wa saa 24 na chumba maalum kinachoonesha camera za angle zote za hiki KIJIJI…. humu kwenye lift pia kila Mkaazi anapewa kadi yake, lift haikupeleki sehemu bila kadi!!! hamna ugeni wa makasiriko wala wizi.
Apartments kuna zenye Sea view na City View, Utachagua kulingana na jinsi unavyopenda.
•Gharama za manunuzi ya apartments zinaanzia $ 156,000 na kuendelea , bei itatofautiana kutokana na aina ya nyumba na floor utakayochagua
Pia malipo Unaweza kulipia kwa awamu , Yani kwa kuanza na 20% tu ya gharama yote na utapata hadi muda wa miaka miwili (2) kumalizia malipo yako taratibu taratibu bila presha
Taharifa nzuri ni kwamba Apartments bado zipo za kununua na kuimiliki inakua ya kwako kabisa
Kuna 2 bedrooms Apartment yenye Sqm 110 Bei Usd 159,000
kuna 2 bedrooms Apartment yenye Sqm 117 Bei Usd 169,000
kuna 3 bedrooms Apartment yenye Sqm 126 Be iUsd 182,000
kuna 3 bedrooms Apartment yenye Sqm 175 Bei Usd 273,700
kuna 4 bedrooms Apartment yenye Sqm 231 Bei Usd 215,800
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi :
——————————————————————
Call us. :+255784225000
Website : www.kaya.co.tz
Email. : Info@kaya.co.tz
——————————————————————
KARIBUNI SANA