Overview
- Updated On:
- October 16, 2021
Description
— Yard inauzwa Chamazi – Msumini.Yard ipo Pembezoni mwa Barabara ya Chamazi Road.
— Eneo ni Zuri Kwa Ujenzi wa Petrol Station,Yard Au Kanisa na kwenye Kiwanja Kuna Nyumba yenye vyumba 4 ,Store,Public toilet.
— Plot Size: 1900 Sqm
— Eneo Limepimwa na kuwekwa Mawe (Bicons) na Kimerasimishwa na Halmashauri ya Temeke na Kina Documents/ Nyaraka za Upatikanaji wa Hati Miliki.
— Maji Yapo ( Kisima)na Umeme wa 3 face Upo.
— An Ideal for Residential and Commercial purposes.
Bei ni Tsh 900M (Negotiable)
District: Temeke
Area: Chamazi
Region: Dar es Salaam
Country: Tanzania, United Republic of
Open In Google Maps Property Id : 31746
Price: TZS 900,000,000