Mikopo ya NBC kea ajili ya Nyumba na Viwanja
National Bank of Cpmmerce Limited inasaidia ujenzi wa majengo ya biashara kwenye miradi iliyopo nchini na ya maeneo mengine ya Afrika. Wasiliana na wahudumu wa Mikopo wa Bank hiyo kwa ajili ya ufafanuzi wa ziada.